Tuesday, November 5, 2013

FC BAYERN MÜNCHEN KUFIKISHA REKODI MBILI WIKI HII


Fc Bayern München wameweza kufikisha rekodi mbili wiki hii.
Jumamosi walivunja rekodi ya kucheza mechi 36 mfululizo bila kufungwa katika Bundesliga (walifikisha rekodi ya Hamburger SV ya miaka 30 iliyopita).

Na leo hii walifikisha rekodi ya Barcelona kushinda mechi 9 mfulilizo katika UEFA Champions League. Walifunga Viktoria Pilsen 1:0.  Hivyo wameshaingia last sixteen.

No comments:

Post a Comment