Monday, February 18, 2013

MZUNGU ALIYEJITOKEZA NA KUDAI KUWA ALIKUWA MUME WA GOLDIE WA PREZZO ATOA USHAHIIDI WA PICHA



Ikiwa ni siku chache zimepita tangu aliyekuwa mchumba wa CMB PREZO mwanadada Goldie kutoka Nigeria kufariki, mtu aliyejitambulisha kwa jina la Andrew Harvey raia wa England ajitokeza na kudai kuwa mrembo huyo ni mke wake wa ndoa na kutoa ushahidi wa picha za harusi yao iliyofungwa mwaka 2005




















Friday, February 15, 2013

MWANARIADHA WA AFRIKA KUSINI (OSCAR PISTORIUS) AMUUA MPENZI WAKE SIKU YA VALENTINE



Polisi nchini Afrika kusini wamethibitisha kuupata mwili mwanamitindo Reeva Steenkamp ambae alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanariadha Oscar Pistorius. Mwili huo ambao ulikuwa umbeshambuliwa kwa kupigwa risasi nne sehemu tofauti ulikutwa nyumbani kwa mwanariadha huyo siku ya wapendanao, ambaopo ilithibitika kuwa Oscar ndiye mtuhumiwa namba moja kwa kuwa hakukuwa na mtu yoyote ndani ya nyumba hiyo zaidi ya wawili hao.

Akitoa maelezo yake mbele ya maafisa wa polisi Oscar alisema kuwa siku hiyo alikuwa nyumbani peke yake huku akiwa hana matarajio ya kupata mgeni, laini mpenzi wake huyo alikuja kumtembelea kwa kushtukiza "suprise" lakini yeye hakugundua na kufikiria kuwa labda kavamiwa na majambazi. Wakati akijaribu kujihami akaamua kurusha risasi na baada ya kumshambulia mtu huyo ambae alifikiri kuwa ni jambazi ndipo baadae akagundua kuwa amemuua mpenzi wake. Hata hivyo maafisa wa Polisi hawajatoshelezwa na maelezo hayo yaliyotolewa na Oscar, hivyo uchunguzi bado unaendelea.


Oscar alipokuwa akichuliwa na polisi nyumbyni kwake

Sunday, February 10, 2013

VIDEO MPYA YA BIZMAN "ANZA UPYA" ALIYOIFANYA MBELEMBELE

AFTER WORK PARTY in MÜNCHEN

 

HERZLICH WILLKOMMEN
zur
AFTER WORK PARTY
am 01. März 2013

Sie findet, wie die meisten der Partys von 
DJ MAX ENTERTAINMENTS
in der THEATERFABRIK am 
Ostbahnhof statt (für alle, dies noch nicht wissen, das ist gegenüber vom Do Brasil).

Beginn ist um 21.00 Uhr und es geht wie immer bis zum umfallen. Kommt alle und feiert mit uns den wohlverdienten Feierabend am Ende der Woche.

Musik gibt es wieder von unseren besten Dj´s: 
DJ RAMA (aus München), 
DJ LADY KIARIE (aus Nürnberg) und 
DJ TINDO (aus München). 

Gespielt wird Dancehall, Hip Hop, Bongo Fleva, Genge, Reggae, Naija Fleva, Makosa, Zouk, R&B, Salsa, Ndombolo, Rhumba, Chakacha, Coupe decale und vieles mehr....

Also kommt alle und habt Spaß bis zum Morgen!!!!!

Tuesday, February 5, 2013

HONGERA KITALE KWA KUCHUKUA JIKO


Hamisi Kitale akiwa na mkewe bi Fatma Salum Baada ya kufunga ndoa huku wakiwa na sura za firaha



Tukio la kufungishwa ndoa likiendelea



Kitale akitia sahihi kwenye cheti cha ndoa



Aiiiii!!!!  Wanachekaa!!!!!