Thursday, October 11, 2012
Tuesday, October 9, 2012
HEKA HEKA ZA OKTOBERFEST, MPIGA DRUMS HATARI DUNIANI
Huyu jamaa ni noma, alikuwa kivutio kikubwa sana kwenye tamasha
Monday, October 8, 2012
Friday, October 5, 2012
MASIKINI LULU!!!! ARUDISHWA TENA LUPANGO NA KESI YAKE YAANZA UPYA
Elizabeth Michael (LULU)
Akiwa chini ya ulizi wa jeshi la polisi na kuhifadhiwa rumande kwa miezi kadhaa kutokana na tuhuma zinazomkabili za kusababisha kifo cha msanii mwenzie Steven Charles Kanuma. Msanii "lulu" leo alijikuta katika wakati mgumu baada ya mahakama ya rufaa kuamua kuwa kesi yake irudishwe mahakama ya kisutu na kuanza kusikilizwa upya kutokana na kutofuatwa kwa baadhi ya taratibu, ambapo Naibu msajili wa mahakama ya rufaa Bi Zahra Marume alitoa ufafanuzi huo masaa machache yaliyopita wakati kesi hiyo ilitarajiwa kusikilizwa na kushindikana.
Wednesday, October 3, 2012
Monday, October 1, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)
