Saturday, November 23, 2013

TOP NEWS!!!! BAYERN AYASHINDA DORTMUND BAADA YA MUDA MREFU KATIKA BUNDESLIGA

Mario Götze akifunga timu yake ya zamani 0:1



MATOKEO 
BORUSSIA DORTMUND vs FC BAYERN MÜNCHEN
0:3

MAGOLI
Dakika ya 66: Mario Götze
Dakika ya 85: Arjen Robben
Dakika ya 87: Thomas Müller

Tuesday, November 5, 2013

FC BAYERN MÜNCHEN KUFIKISHA REKODI MBILI WIKI HII


Fc Bayern München wameweza kufikisha rekodi mbili wiki hii.
Jumamosi walivunja rekodi ya kucheza mechi 36 mfululizo bila kufungwa katika Bundesliga (walifikisha rekodi ya Hamburger SV ya miaka 30 iliyopita).

Na leo hii walifikisha rekodi ya Barcelona kushinda mechi 9 mfulilizo katika UEFA Champions League. Walifunga Viktoria Pilsen 1:0.  Hivyo wameshaingia last sixteen.

Saturday, October 19, 2013

LEVERKUSEN KUSHINDA KWA GOLI FEKI - TAZAMA KWA MAKINI



Goli hilo linatukumbusha goli feki la msimu 94/95 alilofunga Thomas Helmer katika mechi FC Bayern München vs 1. FC Nürnberg

Friday, October 4, 2013

TIMU ZOTE NNE ZA BUNDESLIGA ZASHINDA MECHI YA PILI KATIKA CHAMPIONS LEAGUE WIKI HII

FC Basel vs FC Schalke
0:1




Borussia Dortmund vs Olympique Marseille
3:0




Bayer 04 Leverkusen vs RS San Sebastian
2:1




Manchester City vs FC Bayern München
1:3