R.I.P. Nelson Mandela
Thursday, December 5, 2013
Wednesday, December 4, 2013
MATOKEO YA MECHI ZA DFB-POKAL, ROUND YA LAST SIXTEEN, ANAYEFUNGWA ANATOKA
Saarbrücken, Schalke, FC Köln na Union Berlin wametoka.
WANAOENDELEA:
Dortmund
Hoffenheim
Hamburger SV
Kaiserslautern
Mechi za leo:
Tunasubiri matokeo.
Sunday, December 1, 2013
Saturday, November 23, 2013
TOP NEWS!!!! BAYERN AYASHINDA DORTMUND BAADA YA MUDA MREFU KATIKA BUNDESLIGA
Mario Götze akifunga timu yake ya zamani 0:1
MATOKEO
BORUSSIA DORTMUND vs FC BAYERN MÜNCHEN
0:3
MAGOLI
Dakika ya 66: Mario Götze
Dakika ya 85: Arjen Robben
Dakika ya 87: Thomas Müller
Tuesday, November 5, 2013
FC BAYERN MÜNCHEN KUFIKISHA REKODI MBILI WIKI HII
Fc Bayern München wameweza kufikisha rekodi mbili wiki hii.
Jumamosi walivunja rekodi ya kucheza mechi 36 mfululizo bila kufungwa katika Bundesliga (walifikisha rekodi ya Hamburger SV ya miaka 30 iliyopita).
Na leo hii walifikisha rekodi ya Barcelona kushinda mechi 9 mfulilizo katika UEFA Champions League. Walifunga Viktoria Pilsen 1:0. Hivyo wameshaingia last sixteen.
Subscribe to:
Posts (Atom)








