Tuesday, April 23, 2013

BREAKING NEWS!!!!!!! MARIO GOTZE ATUA FC BAYERN MÜNCHEN KAMA ALIVYOPENDEKEZA GUARDIOLAMshambulia machachari raia wa ujerumani ambae alikuwa akikipiga ndani ya Borussia Dortmund, masaa kadhaa yaliyopita amemwaga wino kuthibitusha kuchezea ndani ya nyota nyekundu ya kusini mwa Ujerumani Fc Bayern München. Inaamini kuwa kifaa hicho ni mapendekezo ya kocha mpya anaetarajiwa kuanza kazi na Bayern msimu ujao Pep Guardiola, Amesema anakihitaji sana kifaa hicho kuongeza nguvu katika kikosi chake. Gotze ataanza rasmi kuitumikia Bayern msimu ujao huku akiwa amevitosa baadhi ya vilabu vya England kama Arsenal na Manchester United.Mario Gotze ndani ya uzi wa Bayern

No comments:

Post a Comment