Sunday, December 16, 2012

BREAKING NEWS!!!!! FC SCHALKE 04 WAFUKUZA MAKOCHA
Baada ya kutofanya vizuri kwenye ligi kuu ya soka nchini Ujerumani Bundesliga, uongozi wa timu ya Fc Schalke 04 umekatisha mkataba rasmi leo kwa njia ya amani na makubaliano na aliyekuwa kocha wa timu hiyo bwana Huub Steven. Uamuzi huo ni kufuatia timu hiyo kutopata ushindi katika michezo 7 mfulizo ya Bundesliga. Pia wamemtimua kocha msadizi na kwa sasa nafasi ya ukocha inashikiliwa na aliyekuwa kocha wa timu ya watoto chini ya umri wa miaka 17 wa timu hiyo.No comments:

Post a Comment