Monday, October 22, 2012

CHEGE CHIGUNDA AKANUSHA KUMTIA MIMBA MKE WA MTUMsanii mwenye jina kubwa ndani ya bongo kutoka mitaa ya Temeke jijini Dar es Salaam leo alifunguka alipokuwa akipiga "story" na kipindi cha XXL cha clouds fm. Chege alikanusha vikali tuhuma au uzushi huo uliokuwa umezagaa kila kona baada ya kubainika kuwa mtu huyo hakuwa na ushahidi sababu ambayo imempelekea Chege kusema kuwa atachukua hatua na taratibu za kisheria dhidi ya mtu huyo


No comments:

Post a Comment