Monday, March 25, 2013

BREAKING NEWS!!! KAJALA AINGIA URAIANI KUPITIA MIKONO YA WEMA SEPETUMsanii wa Bongo Movie Kajala Masanja ambae alikuwa anakabiliwa na kesi ya jinai leo kesi hiyo ilisomwa na kutolewa hukumu mbele ya hakimu mkazi kunako mahakama ya kisutu jiji Dar es Salaam. Hakimu Sudi Fimbo alisoma hukumu hiyo ya kumtaka Kajala kwenda gerezani kwa kifungo cha miaka mitano au faini ya shilingi za kitanzania milioni 13. Inaaminika kuwa Wema Sepetu ndio aliojitolea kiasi hicho cha hela na kusababisha Kajala kuingia mtaani. Big Up to Wema Sepetu.

No comments:

Post a Comment