Thursday, March 21, 2013

RICH ONE AINGIA TENA KWENYE KASHFA YA UTAPELIMsanii wa longtime kwenye game ya bongo fleva kutoka katikati ya jiji la Dar es Salaam "Rich One" ambaye alikuwa na tuhuma za utapeli kwa kutumia jina la msanii Ally Kiba miezi kadhaa iliyopita. Hivi juzi amekumbwa na skendo nyingine ya utapeli wa kutumia jina la msanii mwingine wa bongo fleva "Stamina"

Inasemekana kuwa Rich one amekuwa akijifanya kuwa yeye ni Meneja wa stamina huku akiwasiliana na waandaji matamasha na kuwaahidi kuwaletea msanii huyo kwenye matamasha. Huku akiwa amemtengeneza mtu asiyejulikana na kumtambulisha kuwa ndo msanii Stamina kwa njia ya simu.No comments:

Post a Comment