Sunday, March 24, 2013

MADEE AMPA SHAVU DIAMOND KWENYE VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA "POMBE YANGU"

Baadhi ya picha zikionesha sehemu ya maandalizi ya kioo kipya cha super raper kutoka mitaa ya Manzese jijini Da er Salaam. Rais Huyo wa Manzese kama anavyotambulika pia amempa shavu rais wa wasafi Diamond Platnumz kwenye kideo hicho. 
Hata hivyo mmoja wa wadau wa kundi la TipTop ambalo ndilo kundi linalomtambulisha Madee, bwana Hamisi Talle "Bab Talle" amekaririwa akisema kuwa video hiyo itatoka hivi karibuni na itakuwa video hatari kwa ubora wake. "kaka tusiongee mengi wewe subiri utaona mwenyewe kazi ikitoka" alisema Talle hivi juzi kati kwa njia ya simu alipoongea na mwakilishi wa blog hii.No comments:

Post a Comment