Saturday, May 26, 2012

AFRICAN FESTIVAL NDANI YA WÜRZBURG ILIKUWA NOMAAAAA!!!!!!


Jana alikuwa ni pata shika nguo kuchanika kwa wapenzi wa burudani ndani ya jiji la Würzburg kwenye jimbo la Bayern nchini Ujerumani. Ni tamasha kubwa kabisa la kiafrika ambalo hufanyika kila mwaka na kwa mwaka huu lilianza jana 25-05-2012 na linatarajiwa kufikia kilele siku ya jumatatu ya tarehe 28 mwezi huu.




Ikumbukwe kuwa leo kutakuwa na Party kubwa zaidi ya kiafrika nje kidogo ya jiji la Würzburbug, ni kama mwendo wa lisaa tu katika jiji la NÜRNBERG (club fesrac 77) Zufuhrstr 20. Ambapo Dj Max atawakilisha kama kawaida
Tukutane Pamoja


BURUDANI MWANZO MPAKA MWISHO KUTOKA KWA DJ MAX

No comments:

Post a Comment