Saturday, May 26, 2012

DJ MAX KUWARUSHA WAKAZI WA NÜRNBERG MASAA MACHACHE YAJAYO
Ikiwa yamesalia masaa kama mawili na nusu hivi kutoka sasa, wakazi wa kitongoji cha Nürnberg katika jimbo la Bayern wanatarajia kupata burudani ya aina yake itakayoporomoshwa na The most wanted Dj Max.


Leo usiku kutakuwa na Pary ya nguvu ndani ya Club Festac 77, Zufuhrstr 20. Aina mbalimbali za muziki zitaletwa kwenu bila ya kinyongo kama vile BONGO FLEVA, GENGE, NAIJA FLEVA, LINGALA, MAPOUKA, RHUMBA, CHACHA, CHARANGA, SALSA, HIP HOP, R n B, DANCEH ALL bila ya kusahau miondoko ya KWAITO, TAARAB, MDUARA, MUGITHI na mingineyo kutoka pande mbalimbali za duniaNYOTE MMEALIKWA NA KUKARIBISHWA KWA KIINGILIO CHA 5€ TU!

No comments:

Post a Comment