Saturday, May 5, 2012


TONIGHT
East Africans Night in Munich

 Hii ni kwa wale wanaopenda burudani, leo usiku kutakuwa na burudani ya aina yake ktk jiji la Munich hapa nchini ujerumani. Burudani hii ni mfululizo wa matukio ya burudani ya kila mwezi.
Dj Rama akiwa pamoja na Dj dully boy watacheza ngoma za nguvu ktk ukumbi wa Swing Cafe & bar, Am Harras 2. München Harras.
Pia bila kusahau Dj max nae kama kawaida yake ataendelea kuoa burudani ktk jiji la Nürnberg.

HAYA SASA WADAU KAZI KWENU

No comments:

Post a Comment