Saturday, May 5, 2012

Kenyans Madaraka Day in Nürnberg


MADARAKA  DAY  IN  NÜRNBERG




Jimbo la Bayern nchini ujerumani linatarajiwa kupambwa na burudani ya aina yake katika kusherehekea sikuku ya Madara ijulikanayo kama Madaraka day. Burudani ya Muziki wa aina yake kutoka kwa ma Dj Maarufu nchini hapa (Ujerumani) Dj Rama akishirikiana na Dj Max ambae pia ni mmiliki wa kampuni ya The Dj Max Entertainments. Sambamba na lile kundi Maarufu la vijana machachari wa kuchezea moto na kuruka sarakasi maarufu kama Maasai Fire Acrobatics ambalo linaundwa na vijana wawili wa kikenya lenye makazi yake katika jimbo Bayern pia watatoa burudani siku hiyo.
Usikose ni Jumamosi ya Tarehe 16. 06. 2012 pale Club Festa 77, Zufuhrstr 20. Nürnberg (ndani ya jimbo la Bayern) Wote mmekaribishwa
NAJIVUNIA KUWA MKENYA

No comments:

Post a Comment