Wednesday, January 16, 2013

BREAKING NEWS!!!! PEP GUARDIOLA KOCHA MPYA BAYERN KUANZIA MSIMU UJAORaia wa Spain mwenye umri wa miaka 41 leo ametangazwa rasmi na uongozi wa Fc Bayern Munich ya Ujerumani kuwa ndie atakaekuwa mrithi wa Jupp Heynckes kwa nafasi ya ukocha. Heykes ambaye anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu wa ligi alikataa kuongeza mkata kwa madai kuwa anahitaji kupumzika kutokana na umri na hivyo uongozi wa Bayern ukaona kuwa anaefaa kwa nafasi hiyo si mwingine bali ni Pep Guardiola.

No comments:

Post a Comment