Monday, September 10, 2012

BAADA YA BILBAO KUTAKA KUMUWEKEA NGUMU MARTINEZ HATIMAYE AANZA MAZOEZI RASMI NA FC BAYERNKifaa kipya cha Fc Bayern kikiwa kinatokea Bilbao, ambapo usajili wake almanusura ulete utata na labda asingeweza kuchezea nyota nyekundu ya kusini (FC BAYERN) hatimaye kila kitu kipo sawa na leo ameanza mazoezi rasmi. 

Picha juu inaonyesha akiwa na Bastian Schweinsteiger (kushoto) baada ya mazoezi wakibadilishana mawazo

No comments:

Post a Comment